Dini ya Musambwa

Mahali patakatifu pa Elijah Masinde

Dini ya Musambwa ni jumuiya ya kidini iliyoanzishwa na Elijah Masinde kati ya Wabukusu wa Kenya ya magharibi mnamo mwaka 1943. "Musambwa" ni neno la Kibukusu chenye maana ya "roho, pepo".


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search